KaBrazen podcast show image

KaBrazen

The LAM Sisterhood

Podcast

Episodes

Listen, download, subscribe

Ketty Nivyabandi | Kiswahili

Ndoto zinazomezwa, rangi zinazotoweka na mpango bora kabisa! Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua juu ya msichana anayeota kwa sauti. Katika ulimwengu ambapo ndoto za watu zinamezwa na kinyonga mlafi, Ketty kwa ujasiri, anawaonyesha watu wake wa Burudi umuhimu wa kuendelea kuota! Ketty anatukumbusha , ndoto zenu ni muhimu sana , kwa hivyo usimruhusu mtu yeyote akuzuie kuota!

KaBrazen RSS Feed


Share: TwitterFacebook

Powered by Plink Plink icon plinkhq.com