KaBrazen podcast show image

KaBrazen

The LAM Sisterhood

Podcast

Episodes

Listen, download, subscribe

Therese Bella Mbida | Kiswahili

Marafiki wawili, msako wa ajabu na hadithi ambayo lazima isimuliwe! Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kustaajabisha inayohusu msichana aliyependa hadithi. Therese mwenye ujasiri anapiga safari katika Mji wa Hekaya akisaka njia za kufufua hadithi yake na kuipa uhai. Pamoja na usaidizi wa rafiki yake Geraldine, Therese anatukumbusha kwamba si lazima utimize ndoto zako pekee yako, unaweza kuomba usaidizi.

KaBrazen RSS Feed


Share: TwitterFacebook

Powered by Plink Plink icon plinkhq.com