KaBrazen podcast show image

KaBrazen

The LAM Sisterhood

Podcast

Episodes

Listen, download, subscribe

Nelly Cheboi | Kiswahili

Matumaini makubwa, wachokozi wabaya na msichana anayependwa na ndoto!  Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua juu ya msichana mmoja Mkenya, mchangamfu, aliyeota ndoto kubwa kubwa. Katika dunia ambapo ndoto huimba, kusikiliza na kukusaidia, Nelly anatukumbusha kwamba ni sawa kujaribu , kufeli na kujifunza…kwa sababu ndoto zako zinaweza kutimia.

KaBrazen RSS Feed


Share: TwitterFacebook

Powered by Plink Plink icon plinkhq.com