KaBrazen podcast show image

KaBrazen

The LAM Sisterhood

Podcast

Episodes

Listen, download, subscribe

Bessie Head | Kiswahili

Mapango yenye giza, vyura wasio na rangi na mwangwi wenye mafanikio!  Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua inayohusu msichana aliyetumia sauti yake. Katika dunia ambapo baadhi ya watu walilazimika kuishi katika mashimo yenye upweke, ambapo walilazimika kunong’ona tu, Bessie alitumia sauti yake kubwa kuwapa watu wake matumani. Bessie anatukumbusha kwamba, kuzungumzia  ndoto zako kwa sauti kunaweza kuufanya ulimwengu uwe maridadi zaidi.

KaBrazen RSS Feed


Share: TwitterFacebook

Powered by Plink Plink icon plinkhq.com