KaBrazen podcast show image

KaBrazen

The LAM Sisterhood

Podcast

Episodes

Listen, download, subscribe

Angelique Kidjo | Kiswahili

Msichana anayeimba, ukwepaji wa kijasiri na tamasha la kipekee kweli kweli!  Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kimuziki ya msichana anayeeneza furaha kila aendako. Kutoka awe msichana mdogo aliyekua na kuwa mwanamuziki maarufu katika nchi yake, hadi kutoroka nyumbani usiku wa manane, na kugeuka na kuwa mwanamuziki mashuhuri wa kimataifa, Angelique hakuwahi kuwacha kuimba…na anatukumbusha kuimba , kucheza na kuota kila wakati!

KaBrazen RSS Feed


Share: TwitterFacebook

Powered by Plink Plink icon plinkhq.com